Search

101 results for Leonard Musikula :

  1. Nyota Mzambia alazimika kustaafu soka

    Mchezaji wa timu ya Zambia na Brighton & Hove Albion Enock Mwepu (24) amelazimika kustaafu soka baada ya kugundulika kuwa na ugonjwa wa moyo. Katika taarifa iliyotolewa Jumatatu asubuhi...

  2. Zamalek yakacha Azam complex

    MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (Sh 116milioni) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua ya...

  3. Zaka Zakazi afungiwa miezi mitatu

    MKUU WA Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Azam Fc Thabiti Zakaria maarufu Zaka Zakazi amefungiwa miezi mitatu na kupigwa faini ya Sh500,000 kwa kosa la kuwatuhumu marefa kuwanyima penati...

  4. Tembo Warriors kuivaa Haiti robo fainali Kombe la Dunia

    KESHO Alhamisi, timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu 'Tembo Warriors' itakuwa uwanjani kwenye uwanja wa TFF Riva jijini Instanbul kumenyana na Haiti ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali ya...

  5. Zamalek kukiwasha Azam

    MABINGWA wa Ligi Kuu mara 20 ya nchini Misri Zamalek FC wanatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam wiki hii kwaajili ya kuikabili klabu ya Flambeau du Centre ya Burundi katika mchezo wa kwanza wa...

  6. Tembo Warriors yatinga 16 bora Kombe la Dunia

    USHINDI wa Argentina wa mabao 3-2 dhidi ya England jana jioni umeipa timu ya Taifa ya Walemavu ya Tanzania ‘Tembo Warriors’ nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Fainali za Kombe la Dunia nchini...

  7. Wasudani wa Yanga CAF kutua Dar Alhamisi

    BAADA ya jana viongozi wa Al Hilal kutua Jijini Dar es Salaam wakitokea nchini Congo, wachezaji pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo wanatarajiwa kuwasili nchini siku ya Alhamisi tayari...

  8. Pitso atishwa zigo Uarabuni

    ALIYEKUWA kocha mkuu wa klabu ya Al Alhy ya Misri na Memelodi Soundowns ya Afrika ya Kusini, Pitso Mosimane amekianza kibarua chake kipya rasmi kwa kufanya mazoezi ya kwanza katika klabu mpya ya...

  9. Tembo Warriors yapata ushindi wa kwanza Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Watu wenye ulemavu Tembo Warriors, imepata ushindi wa kwanza katika mashindano ya Kombe la Dunia 2022 yanayoendelea nchini Uturuki wakiifunga Uzbekistan mabao 2-0 Ushindi huo...

  10. CAF yaipokonya Guinea haki ya kuandaa Afcon 2025

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limefungua upya maombi ya kuandaa Afcon 2025 baada ya kuipokonya Guinea haki hiyo. Kuondolewa kwa haki hizo kulifuatiwa mkutano uliofanyika Ijumaa...

Page 1 of 11

Next